kipo chumba na sebure tegeta ni kizuri tu bei ni 100,000 mawasiliano 0764014285Habari zenu wana JF. Nahitaji nyumba simple ya kupanga iwe na chumba kimoja na sebule, self contained (yaani choo na bafu kwa ndani).
Isiwe mbali sana na city center na iwe mpya kidogo. Kuhusu sehemu yenyewe na kodi tutapatana.
Asanteni.
Isiwe mbali sana na city center na iwe mpya kidogo. Kuhusu sehemu yenyewe na kodi tutapatana.kipo chumba na sebure tegeta ni kizuri tu bei ni 100,000 mawasiliano 0764014285