Habarini humu ndani.
Jamani nahitaji Nyumba ya kupanga
iwe chumba na sebule. Maeneo ya ilala, malapa. Pia Ubungo hasa riverside na Pia Ubungo Maziwa na mabibo mwisho.
Umeme na maji Pia muhimu Sana Rent isizidi 60000 miezi 6 pm me now
Urgent, nahitaji nyumba iwe 2 bedrooms, jiko na choo, iwe maeneo ya makongo juu, survey, mwenge, changanyikeni na mbezi tanki bovu, ikiwa na fence ni vizuri zaidi

Ipo moja Makongo. 2 bedrooms one of which is a master, sebule, jiko limewekwa kitchen cabinets kabisa. Maji kujitegemea, na umeme. Parking ya kumwaga hata kama una scania. 350,000/= ndo bei yake.
interested?

makongo maji ni ya kununua mkuu.
So kila mtu ana tank laki la lita 1000. Mwenye nyumba amechimba kisima na kina maji ila full chumvi. Alternatively waweza nunua maji ya bomba magari yanapitisha