Arabela JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 3,127 Reaction score 2,227 Sep 13, 2012 #21 Akiri said: vipo mkuu . kimoja kipo msufini mwananyamala Click to expand... hali yake ikoje?
A Akiri JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 1,445 Reaction score 217 Sep 14, 2012 #22 Arabela said: hali yake ikoje? Click to expand... ya kawada kaka ni chumba cha uani chumba cha elfu 30 hata wewe unaweza kuwa na picha yake kichwani.
Arabela said: hali yake ikoje? Click to expand... ya kawada kaka ni chumba cha uani chumba cha elfu 30 hata wewe unaweza kuwa na picha yake kichwani.
M mzurisana Senior Member Joined Jun 23, 2011 Posts 133 Reaction score 27 Sep 14, 2012 #23 Akiri said: kipo hapa kinondoni kwa matx bei 150,000 miezi kumi anachukua , gari inafika mpaka ndani chumba ni master na kina kina jiko Click to expand... hakuna ambavyo bei inashuka kidogo, yaan self ambayo haina jiko? coz jiko kwangu sio umuhimu kivile, chumba nikikipanga vzr naweza weka jiko au nikapikia nje coz cna vitu vingi sn
Akiri said: kipo hapa kinondoni kwa matx bei 150,000 miezi kumi anachukua , gari inafika mpaka ndani chumba ni master na kina kina jiko Click to expand... hakuna ambavyo bei inashuka kidogo, yaan self ambayo haina jiko? coz jiko kwangu sio umuhimu kivile, chumba nikikipanga vzr naweza weka jiko au nikapikia nje coz cna vitu vingi sn
Persie Senior Member Joined May 2, 2012 Posts 188 Reaction score 15 Sep 15, 2012 #24 Maeneo ya buguruni vp especialy malapa ntapata cha bei gani?
A Akiri JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 1,445 Reaction score 217 Sep 17, 2012 #25 mzurisana said: hakuna ambavyo bei inashuka kidogo, yaan self ambayo haina jiko? coz jiko kwangu sio umuhimu kivile, chumba nikikipanga vzr naweza weka jiko au nikapikia nje coz cna vitu vingi sn Click to expand... kipo cha laki choo kiko nje gari inaingia ndani wapangaji mko wawili tu , kipo kinondoni mahakamani
mzurisana said: hakuna ambavyo bei inashuka kidogo, yaan self ambayo haina jiko? coz jiko kwangu sio umuhimu kivile, chumba nikikipanga vzr naweza weka jiko au nikapikia nje coz cna vitu vingi sn Click to expand... kipo cha laki choo kiko nje gari inaingia ndani wapangaji mko wawili tu , kipo kinondoni mahakamani
A Akiri JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 1,445 Reaction score 217 Sep 17, 2012 #26 Persie said: Maeneo ya buguruni vp especialy malapa ntapata cha bei gani? Click to expand... inategemeana na nyumba kuna chumba cha buku 10 hakina umeme na maji tuwasiliane nikupeleke
Persie said: Maeneo ya buguruni vp especialy malapa ntapata cha bei gani? Click to expand... inategemeana na nyumba kuna chumba cha buku 10 hakina umeme na maji tuwasiliane nikupeleke
M mzurisana Senior Member Joined Jun 23, 2011 Posts 133 Reaction score 27 Sep 18, 2012 #27 Akiri said: kipo cha laki choo kiko nje gari inaingia ndani wapangaji mko wawili tu , kipo kinondoni mahakamani Click to expand... hiko nimekipenda nitakutafuta
Akiri said: kipo cha laki choo kiko nje gari inaingia ndani wapangaji mko wawili tu , kipo kinondoni mahakamani Click to expand... hiko nimekipenda nitakutafuta