Nahitaji chumba cha kupanga Mkoani Shinyanga

Nahitaji chumba cha kupanga Mkoani Shinyanga

Van Pauser

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2017
Posts
419
Reaction score
425
Habari muda huu ndugu zangu watanzania.... Kwa wale mliopo mkoani shinyanga nahitaji chumba cha kupanga.

Conditions: Chumba na Sebule(Master)
Budget:70,000/= Per month

Ikiwa na fence itakuwa jambo la heri
Kama upo serious ni PM
 
Wewe ni mwenyeji, kama ni mwenyeji sema nikutajie kuna house inaoza iko apo opposite na kom secondary nakupa nyumba nzima kama utafikia muafaka wa kuniongeza 50 elfu umeme maji kila kitu fresh isipokua fence tu
 
Mimi sio mwenyeji mkuu... Nmehamishiwa huku kikazi
 
Huez saka nyumba town unaishi kolandoto ni km zaidi ya 50 na usafir wa shy bado sio wa kuaminik, maganzo,mwadui, kolandoto na bugweto ndio angalau utaweza kua karib na kazi
 
Suala la usafir sio issue sana mm nnachotaka ni chumba kiwe town mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom