Nahitaji chumba cha kupanga maeneo haya Dar

Nahitaji chumba cha kupanga maeneo haya Dar

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,607
Reaction score
4,766
Wana jukwaa nimekuja kwenu.

Wakuu nahitaji chumba cha kupanga maeneo ya Mabibo Hostel, Sinza, Changanyikeni, Survey, Makongo Juu, Ubungo External, Mwenge na River Side. Budget yangu ni 40k 45 au 50k kwa mwezi.

Ningepata penye wapangaji wasiozidi wanne ningefurahi pia. Hata kama ningepata dalali poa tu ningempooza kidogo. Nicheki kwa namba 0759 432 654 SMS, WhatsApp pia.

Natanguliza shukrani.

🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏
 
Back
Top Bottom