Nahitaji chumba cha kupanga Arusha

Nahitaji chumba cha kupanga Arusha

Isaac1

Member
Joined
Nov 12, 2018
Posts
79
Reaction score
70
Habari wanaJf

Nahitaji chumba single self kizuri cha kupanga Arusha eneo lolote lisilokuwa uswazi. Panapofikika mjini kwa urahisi.

Bajeti yangu ni 50k mpka 100k Ila kikiwa kikali zaidi naweza ongeza dau.

Mwenye nyumba asiishi hapo na umeme uwe wa kujitegemea
Zingatia maelezo hapo juu.

Asanteni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom