Nahitaji chumba cha biashara Mbezi

hussein netto

New Member
Feb 29, 2016
1
0
Habari zenu ndugu wapendwa,

Samahani kwa usumbufu wenu, nilikua naomba kama kuna mtu anaweza nisaidia kupata frem ndogo kwa ajili ya biashara ya uwakala. Naombeni msaada wenu, kama kuna mtu anaweza nifanikishia swala hilo tuwasiliane kwa no 0717952252.

Eneo husika ni Mbezi Mwisho.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom