ukiona unasoma kitabu huelewi,fahamu kwamba hujaandikiwa wewe,usiwe na fikra fupi,hapo mtu ameuliza swali la kiufundi,kama hujui kaa kimya, siyo kila anayecheka kwa unalofanya amfurahia,wengi wao wankuchek ujinga
Ndugu hiyo nilikuwa inakamata zamani sana. Ilikuwa kama 2012. Hizo details nilizihifadhi kwenye notebook tu. Nimeshasahau hata hizo degree kwa sababu natumia Startimes