Nahitaji Chalk Making Machine

Daddymaster

New Member
Jun 5, 2020
3
0
Habari wadau, natafuta machine ya kutengeneza chalk Kwa ajili ya kuanzisha mradi wa kutengeneza chalk na kuuza, mwenye uzoefu na biashara hii anisaidie kupata machine na ushauri wa biashara yenyewe.
 
Habari wadau, natafuta machine ya kutengeneza chalk Kwa ajili ya kuanzisha mradi wa kutengeneza chalk na kuuza, mwenye uzoefu na biashara hii anisaidie kupata machine na ushauri wa biashara yenyewe.
Mashine zinapatikana japo kwa kuagiza gharama zake zinakuwa chini kidogo ila uzoefu na biashara ya chalk sijui kwakweli
 
Nichek pm utapatiwa mafunzo plus mashine yenyewe ikiwa complete kabisa hapa hapa tz
 
Back
Top Bottom