chiko mkunungu
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 729
- 645
Naitaji chakula cha kuku kwa bei ya kawaida nimepatwa na uhaba wa chakula cha kuku wangu mana uku nilipo chakula cha kuku bei ya juu sana...
Hauko seriousNaitaji chakula cha kuku kwa bei ya kawaida nimepatwa na uhaba wa chakula cha kuku wangu mana uku nilipo chakula cha kuku bei ya juu sana...
nishapata mtu tiari kaja pm tushazungumza na ivi ndo niko njiani naenda onana nae niko morogoro msufini uku...Hauko serious