Muislaam Senior Member Joined Jul 29, 2013 Posts 129 Reaction score 43 Apr 13, 2019 #1 Habari! naomba anayetumia machine hii canon ir 2020 nahitaji CD yake ili nifanye installations ili niweza kuprint kwa kutumia copier. Mwenye nayo tuwasiliane 0714306015 Mimi nipo Dar.
Habari! naomba anayetumia machine hii canon ir 2020 nahitaji CD yake ili nifanye installations ili niweza kuprint kwa kutumia copier. Mwenye nayo tuwasiliane 0714306015 Mimi nipo Dar.
newtonfox JF-Expert Member Joined Mar 3, 2011 Posts 217 Reaction score 93 Apr 13, 2019 #2 Google ni rafiki wako wa karibu kwanini usidownload Sent from my iPhone using Tapatalk
Muislaam Senior Member Joined Jul 29, 2013 Posts 129 Reaction score 43 Apr 15, 2019 Thread starter #3 Nimejaribu lakini haiprint