micky mouse Senior Member Joined Feb 15, 2013 Posts 158 Reaction score 54 Jun 26, 2015 #1 Habari wana JF, Nataka kuuza CD, DVD za tamthiia za Kikorea na Bongo Movie pamoja na Empty DVD. Hivi vitu vyote nahitaji ktk office yangu vya kuuza kwa watu wa bushi kwangu . Asanteni
Habari wana JF, Nataka kuuza CD, DVD za tamthiia za Kikorea na Bongo Movie pamoja na Empty DVD. Hivi vitu vyote nahitaji ktk office yangu vya kuuza kwa watu wa bushi kwangu . Asanteni
Devid Y amos Senior Member Joined Jul 3, 2014 Posts 151 Reaction score 27 Jun 26, 2015 #2 cd na dvd empty unauzaje..??
micky mouse Senior Member Joined Feb 15, 2013 Posts 158 Reaction score 54 Jun 27, 2015 Thread starter #3 Hapana mkuu nataka za kununua ili niuze mkuu..
ndio mzee Member Joined Mar 30, 2014 Posts 51 Reaction score 13 Jun 27, 2015 #4 Upo maeneo gani micky
ndio mzee Member Joined Mar 30, 2014 Posts 51 Reaction score 13 Jun 27, 2015 #5 Ni pm kwa maelewano zaidi