Habari za humu ndani wakuu. Binafsi nnatafuta gari ya kununua aina ya Carina TI aua Carina SI iwe yenye No C.. Na kuendelea. Kwa bajeti ya Sh Milion 7 hadi 7.5. Iwe kwenye hali nzuri.
Kwa mwenye nayo plz ni pm or just give me a call tufanye biashara.