Loveeness78
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 280
- 294
Heshima kwenu wakuu.
Nahitaji bucha ya kukodi jijini Dar es Saalam kwa ajili ya kuuza nyama ya ng'ombe, kama likiwa na vifaa baadhi itakuwa vizuri zaidi. Ila hata kama halina vile vifaa basic za kuuzia ila liwe butcha nitashukuru pia.
Mwenye kujua au kuwa nalo ataniambia hapa public au hata PM pia nitashukuru.
Natanguliza shukrani kama nitawezeshwa kulipata.