Nahitaji Boda ya Mkataba

Kop0

Member
Joined
Oct 6, 2021
Posts
81
Reaction score
129
Habari wakuu! nahitaji boda ya mkataba wa mwaka mmoja iwe ni mpya tu. Nipo Mbeya mjini. Asanteni.
 
Mkuu mbona kama una haraka hivyo jielezee vizuri una umri wa miaka mingapi, unaishi Mbeya sehemu gani,na je una familia au umeoa,au hujaoa, maana matajiri wanahofia sana vijana unaweza kumzamini alafu akatokomea au hesabu hazitimii sababu ya ulevi na starehe zilizokuwa na mpango jieleze vizuri tushawishike
 
Ni kweli nimeandika kifupi sana. Ila mtu akiwa nayo tunaongea tu.
 
Kwa siku elfu kumi!
Pikipiki aina gani? Maana TVS zimepanda bei..zinauzwa 2,800,000/= hapa Dom kwa zile za cc 150. Kwa mwaka jumla ya hesabu Ni kama mil 3 na laki 6. Nikitoa mil 2 na laki nane nabaki na laki 8 kama faida kwa mwaka..HAILIPI.
 
Inategemea piki piki nyingne hadi miezi 14
 
Hivi wakuu naombeni anaeifahamu Hii biashara anipe A B C wakubwa jins involeta faida kwa boss...na changamoto zake

Nitashukur nkipata muongozo [emoji120]
 
Habari wakuu! nahitaji boda ya mkataba wa mwaka mmoja iwe ni mpya tu. Nipo Mbeya mjini. Asanteni.
Unaweza kuleta hesabu kabla ya kuingia kazini?..inadvane kila week...yaani unalipa ela ya week kwanza ndiyo unaingia mzigoni
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…