callist Member Joined Apr 16, 2012 Posts 40 Reaction score 5 Apr 16, 2012 #1 guys niaje,natafuta any blackberry iwe Used Either Pearl or Curve Iwe Katika Condition Inayoridhisha Kidogo..pia mwenye Android bt not Ideos za tiGO..bei yangu ni 100,000..nipigie simu au tuma txt..please please 0718882873
guys niaje,natafuta any blackberry iwe Used Either Pearl or Curve Iwe Katika Condition Inayoridhisha Kidogo..pia mwenye Android bt not Ideos za tiGO..bei yangu ni 100,000..nipigie simu au tuma txt..please please 0718882873
callist Member Joined Apr 16, 2012 Posts 40 Reaction score 5 Apr 16, 2012 Thread starter #2 blackberry,pearl,curve,Ideos,tigo,Android,please
Osaba JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 1,943 Reaction score 808 Apr 16, 2012 #3 kwa hiyo bei utauziwa simu chini ya mnara
muwaha JF-Expert Member Joined May 13, 2009 Posts 740 Reaction score 148 Apr 16, 2012 #4 Huwezi pata blackberry labda nokia
Kingmairo JF-Expert Member Joined Apr 7, 2012 Posts 4,936 Reaction score 3,548 Apr 16, 2012 #5 Ukipata BB kwa bei iyo jiulize mara mbilimbili. Hata mateja hawataiuza good running BB kwa bei hiyo,itakuwa mwana JF? Fikiria chukua hatua!
Ukipata BB kwa bei iyo jiulize mara mbilimbili. Hata mateja hawataiuza good running BB kwa bei hiyo,itakuwa mwana JF? Fikiria chukua hatua!
puravida Member Joined Jan 8, 2012 Posts 74 Reaction score 2 Apr 17, 2012 #6 aiseee kw ahiyo laki moja yako labda ukatafute simu za mchina tu huwezi pata BB wala simu yoyote kati ya hizo ulizo zitaja hapo juu
aiseee kw ahiyo laki moja yako labda ukatafute simu za mchina tu huwezi pata BB wala simu yoyote kati ya hizo ulizo zitaja hapo juu
callist Member Joined Apr 16, 2012 Posts 40 Reaction score 5 Apr 18, 2012 Thread starter #7 puravida said: aiseee kw ahiyo laki moja yako labda ukatafute simu za mchina tu huwezi pata BB wala simu yoyote kati ya hizo ulizo zitaja hapo juu Click to expand... Nashukuru kwa majibu yenu..ahsanteni,thus y nilikuwa specific oky gotcha yah..
puravida said: aiseee kw ahiyo laki moja yako labda ukatafute simu za mchina tu huwezi pata BB wala simu yoyote kati ya hizo ulizo zitaja hapo juu Click to expand... Nashukuru kwa majibu yenu..ahsanteni,thus y nilikuwa specific oky gotcha yah..
mojoki JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 1,313 Reaction score 291 Apr 18, 2012 #8 callist said: Nashukuru kwa majibu yenu..ahsanteni,thus y nilikuwa specific oky gotcha yah.. Click to expand... hukua specific..Inshort ulikua hujui hata unataka nini
callist said: Nashukuru kwa majibu yenu..ahsanteni,thus y nilikuwa specific oky gotcha yah.. Click to expand... hukua specific..Inshort ulikua hujui hata unataka nini
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 62,593 Reaction score 94,359 Apr 18, 2012 #9 BB kwa laki??? Callist eh masikhara ukiipata niletee nitakupa 150k