Nahitaji begi la laptop

Kitimoto

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2012
Posts
8,199
Reaction score
9,913
Mwenye kufahamu sehemu wanapouza mabegi mazuri ya laptop kwa hapa Dar naomba anielekeze. Nilishatembelea GAME iliyopo Mlimani City, mabegi waliyonayo sikuyapenda, na hata duka lililopo jirani na GAME mabegi waliyonayo sio mazuri na bei yao iko juu, bei inaanzia 270,000/=.

Hata kama kuna mabegi mazuri ya mtumba mnielekeze niko tayari kununua.
 
Njoo Posta huku ofisini watu waliposimama. Yamejaa kibao
Zunguka hapo mitaa ya JMall
Ukikosa ni tafute nikuelekeze
 
Kariakoo mtaa wa Swahili kwenye kituo cha magari ya Masaki. Kuna duka lipo mkabala na mgahawa. Yanaanzia 30,000 to 50,000tsh
 
Kuna jamaa ana mabegi mazuri sana mimi nilinunua elfu 40.
Namba yake 0715 158 258 mtafute na anakuletea ulipo au hata kama uko mkoani unamtumia gharama za kusafirisha anakutumia.
 

Eleza vizuri la kutosha Laptop ngapi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…