Atakuwa mtu mjinga kweli kweli atakayempa bank statement kuwa yeye ndiye utakayekuwa sponsor wake, mtu mabye humfahau background history yake. Likitokea la kutokea huko mbele akifuatwa na kuambiwa yeye ndiye sponsor hivyo anatakiwa afanye mambo a,b,c, si itakuwa kilio? Au mara pap, jamaa anakwenda kufanya ugaidi, wanaanza kufuatilia nani alim-sponsor. Mpaka waje wakuelewe utakuwa umekiona cha mtema kuni.