kamsongole
Senior Member
- Apr 20, 2013
- 111
- 15
Wadau anaejua bajaji zinauzwa wapi na bei gani anijuze tafadhali.

Bajaji ya tairi tatu au mbili dadavua
Wadau anaejua bajaji zinauzwa wapi na bei gani anijuze tafadhali.
Kuna bajaj inauzwa lakini ni used ipo kwenye hali nzuri....ukiitaji ni PM
Ninayo yangu ni used but naiuza million 2 kama unataka mpya zipo ni million sita
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
BAJAJ RE 205 NEW MODEL
Ipo rangi hizi;
nyeusi
blue
nyekundu
nyeupe
inakuwa imesajiliwa kabisa,garentii mwaka mmoja kwa lolote likitokea unabadilishiwa chombo
kama upo dar service tatu za mwanzo free yani kila baada ya 750kms
Bajaj halisi,mfano io kampeni ya Tigo iliyoisha ndio kama izo
We as Bajaj saying u wil never regret...
Bei Million 5.6 TZS
NI PM nikupe namba