marandu2010
JF-Expert Member
- Aug 7, 2010
- 1,201
- 446
Zlizotumika za watoto wa miaka 10 kuendelea,kuanzia 30-35elfu.
Nipo DSM, namba 0658327429.
Nipo DSM, namba 0658327429.
stil needed
stil needed
Mkuu baiskeli ipo ila inaitaji service ndogo ndogo kama kuwekwa mafuta,kubadiliswa mnyororo na kuongezwa break 7bu ina break ya mbele tu! Ila kuhusu kutembea inatembea vizuri tu! Ila swala la service nilazima! 7bu usalama ni wajibu wetu! Na kuhusu size cna utalamu sana ila nachofahamu ni size ya matairi yake ambayo ni size 27
Ukiwa interested utanichek ili nikitoka kazini nikutumie picha yake. Bei utanipa elf 40,000/= baada ya kuridhika nayo.
Ameshaichukua?