kama bado unahitaji nicheki maana mi natumia hdmi cableKama unayo cable hii nishtue kwenye nomb +255 756 412 337 tufanye biashara!
kacheki pale kariakoo roundabout ya bibititi
kama bado unahitaji nicheki maana mi natumia hdmi cable
wap hapo? pana spares zingine za xbox? nahitaji battery na controller
unakiasi gani me nikuletee by next week faster, pia nauza xbox 360 complete wwith kinetic na PS3 Complete, pia nitakupa headset free
.!
Hyo xbox bei gani?
xbox 500,000 iko complete na kila kitu iko ktk hali nzuri sana na ina controller 2, yaani hii mkuu umeokotaHyo xbox bei gani?
Hiyo ps3 bei gani?
PSP 450,000 Mkuu...!
Fanya 400,000 tumalize biashara leo leo…!Daka 350k
Fanya 400,000 tumalize biashara leo leo !
Bei hiyo aiuzwi kaka nashukuru, asante sana kwa kuonyesha interest..!Mkuu am serious 350k kama vp ni pm
Bei hiyo aiuzwi kaka nashukuru, asante sana kwa kuonyesha interest..!