Nahitaji Appartment ya Kukodi kwa mwezi wa 11

Nahitaji Appartment ya Kukodi kwa mwezi wa 11

LexAid

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
1,931
Reaction score
774
Ninahitaji Appartmnt ya kupanga Dar es Salaam kwa muda wa mwezi wa 11 kwa Shilingi 500,000/-. Maeneo ya K/Nyama, Makumbusho/ Mikocheni A or B/ Oysterbay/ Msasani or Upanga. Iwe furnished tafadhali.
 
Mkuu huwez pata kwa maeneo hayo
Kwanza apartments dar mara nyingi kodi ni ya miez sita hadi mwaka
Maeneo uliyotaja wenye nyumba wanalipwa kwa dollar na huanzia dola 700 - 1800. kwa hiyo bei labda Kigamboni
 
Kwan lamada si ndo business yao ama..jaribu lamada
 
Barelawyer property...
holla back here..
lakini kwa hiyo bei ni ngumu..
furnished ipo sinza mori..
Usd 700 PM.
0756547184
 
Back
Top Bottom