chipalila1
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 259
- 32
Ungekuwepo Dar ungeipata kwa urahisi sana haswa kama gari ni Toyota...
Kwa hapo Mbeya jaribu kufika gereji fulani hivi maeneo ya Mwanjelwa upande wa Block T karibu na ilipo NMB.
Hapo sawa
kaka, Upo mbeya, jaribu kutembelea Dar uje ucheki. Kama utakosa inabidi
uagize Nairobi au Dubai kule zipo kwa bei rahisi sana mkuu.
Ngoja
nakurushia sasa hivi hiyo link, Kuna Jamaa waliniuzia spare za subaru
ngoja niwatafute hapo Dubai.
spear dar za
kumwagaaaaaaa! wewe tu umeamua kukomaa mbeya kwa fundi chini ya mwembe
spare zipo zinazotokana gari zilizopata ajali wanchinja wanatoa spare,
au kutoka nje.
ahsante iv mpya hazpatkan?
thx kaka, vp bei znarange kati ya tsh ngapi?
Less than a million...
Kawaida huwa laki saba hadi milioni moja...
Isipokuwa ukitafuta sana unaweza ukabahatisha chini ya hapo kwa zile zinazovuliwa toka magari ya hapa kwetu...
Halafu hata hiyo injini uliyonayo kuna some parts nawe unaweza kuziuza kama used spare...
ahsante sana mkuu, nitajitahd kupata contact za hao wauzaj ili nipate zilzotmika nje nadhan ndo ztakuwa nzur.
Haina shaka mkuu kila la kheri...