Nahitaitaji kufahamu ni bank gani hapa nchini inatoa mkopo kwa riba nafuu

mchagger

JF-Expert Member
Oct 15, 2019
861
1,050
Habar wadau,msaada Mim ni mfanyabiashara naitaji mkopo kutoka bank ,naitaitaji kufahamu ni bank gani hapa nchini inatoa mkopo kwa riba nafuu.
 
Benki karibia zote ni vichomi but usije ukajichanganya ukaenda microfinance banks and microfinance institutions ,nenda commercial banks kubwa eg NMB,CRDB,AZANIA etc but ukombozi wa riba ni kuwa na strong Saccos ambapo riba mnajipangiwa wenyewe
 
Benki karibia zote ni vichomi but usije ukajichanganya ukaenda microfinance banks and microfinance institutions ,nenda commercial banks kubwa eg NMB,CRDB,AZANIA etc but ukombozi wa riba ni kuwa na strong Saccos ambambo riba mnajipangiwa wenyewe
SACCOS ndo mkombozi kwakweli
 
Benki karibia zote ni vichomi but usije ukajichanganya ukaenda microfinance banks and microfinance institutions ,nenda commercial banks kubwa eg NMB,CRDB,AZANIA etc but ukombozi wa riba ni kuwa na strong Saccos ambambo riba mnajipangiwa wenyewe
Mkuu naomba unipe ufafanuzi zaidi hapa. Saccos kwanini ni Bora? Nimependa ulivyo tanabaisha.
 
Mkuu naomba unipe ufafanuzi zaidi hapa. Saccos kwanini ni Bora? Nimependa ulivyo tanabaisha.
Kwanza kama wewe ni memba masharti siyo mengi kama masharti ya mabenki pia riba za saccos nyingi ni ndogo kuliko riba za benki ,Note kiasi cha mkopo kinategemeana na taratibu za saccos husika pamoja na uwezo wake .
 
  • Thanks
Reactions: dtj

Similar Discussions

Back
Top Bottom