Kama kichwa cha habari kinavyosema. Nahitaji samsung s4 kwa 250000/=.
Kama unayo weka namba yako ya simu kwenye koments ntakupigia. Iwe used lakini iwe katika hali nzuri na isiwe na tatizo.
S5 nina 350000/= hapa kama unayo pia weka namba yako i will twangia you fone haraka.