Nahisi vitu vinanichoma mwilini, pia ninavipele vidogo maeneo ya shingoni tatizo linaweza kuwa nini?

nelson15

Senior Member
May 17, 2018
109
74
Habarini wana JF?

Ninatatizo ambalo limenianza hivi karibuni, kunamuda nahisi vitu vinanichoma mwilini, pia ninavipele vidogo maeneo yashingoni tatizo linaweza kuwa nini?
 
Ngoja tusubiri dermatologists waje kwa ushauri wa dawa, ila jitahidi kuoga mara mbili hadi tatu kwa siku pamoja na kutovaa nguo nzito pia unapolala kutokuwa na nguo hasa maeneo kama dar.
 
Mkuu hivyo vipele vimelundikana upande mmoja yaani kushoto au kulia au kati?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom