Destinylady
Member
- Nov 21, 2014
- 52
- 15
Nipe nafasi na mm tuone
Kaondoe huo 'mshipa' wako
Wala usilie mama tupo wengi tyuu....
Dahhhh ww unafungukaga sana vitu vingine siyo mkuu vya kusema
Wala usilie mama tupo wengi tyuu....
Hata wewe
loh unanifuatilia sana ndugu eh??? sio kila yasemwayo hapa ni yakweli....hiki kijiwe cha stori nawewe tunga yako leta
Hahahahahaha kuna wengine kama nawaonaga mf. Masai dada, miss chagga, lara, blackwoman....aseeehhhh mna burudani humu mnafungukaga mpaka ka naweza kuwaelewa japokua hatujuani......
Hongera yako