hussein boxer
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 832
- 335
- Thread starter
-
- #61
ndonga yako iko vizuri!!?? kama haipo powa inaweza ikawa tatzo!! au personality yako wanawake hawaipendi,huwavutii!!Attraction yako toward women ni ndogo!!ungekua karibu ningekupa counselling na ningejua tatizo lako limelalia wapi
ndio uwe na binti wa watu unampigisha tu stori miaka minne badala ya kumuoa
ndoga iko vizuri ila tatizo hata wale ambao sijawagonga hukatisha uhusiano bila sababu za kueleweka.
ndoga iko vizuri ila tatizo hata wale ambao sijawagonga hukatisha uhusiano bila sababu za kueleweka.
You look too sweet, ongeza pilipili kidogo
Au unanuka kikwapa na mdomo?
Ubavu wako bado uko njiani unakuja. Muombe mungu
Kama mbahili hutokaa upate mwanamke kamwe.
Utaishia kulalamika tu.
nimeshatafuta sana ila napata za kubadilisha mboga tu,na umri umeenda mkuu siwezi kusubiri zaidi ya hapa.
PoaNimekuonea huruma jaman Kama ndo yamenitokea mie vile,usikate tamaa Mungu yuko upande wako ,hajakutupa mpendwa wangu,endelea kuomba Mungu atakupa chaguo lako pia usiwe unazubaa Sana nikimaanisha kuwa a man,wasichana wengi hawapendi wanaume waliozubaa wasio na maamz Kama mwanaume,future yko iwe powa itamshawishi msichana ,
LolTeh teh teh
Umpeleke wapi sasa jamani???Hujaamua kuoa ww.
Dunia ingekuwa na mlango kuna Mtu ningemtoa nje