hussein boxer
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 832
- 335
- Thread starter
-
- #21
nimeshatafuta sana ila napata za kubadilisha mboga tu,na umri umeenda mkuu siwezi kusubiri zaidi ya hapa.
Mmhh usije ukambaka mbuzi tu:becky:
Hahahahah,mkuu piga mimba tu wakati penzi likiwa changa pale hamna demu atakukimbia ukimtia kitu.Inawezekana unapaka paka hina sana mpaka wanakutoka mduki!
Bro tatizo lako unalalamika sana. Yaani kusoma hizi comments zako tu nimekujua kama mtu wa kulalama tuuu
30 is the number man. The number you become the one eligible mudhafreezing bachelor around. Chics should be chasing you when you on that number, and not the other way round. See you when I get there.
Habari zenu wakuu,
Nimekuwa nikisoma post za watu wengi humu Jf na wakati mwingine kuchangia,kwa kweli kuna mambo yananichanganya sana mpaka najiona sina bahati ya binti wa kujenga nae maisha,nilikuwa na mchumba ambae nilidumu nae kwa mda wa miaka minne na tulikuwa na mipango ya kuoana ila badae wazazi wake walikuja kwenda kumsomesha mkoa mwingine na amemaliza kusoma na sasa anafanyakazi huko nakuishi huko.
Miaka mi3 imepita sijamuona na amekata mawasiliano kabisa. Nina umri wa miaka 32 na nimeshapata wachumba zaidi ya 7 ila huwa wananiacha katika hata bila kugombana,sivuti sigara wala sinywi pombe ya aina yoyote pia kipato changu ni cha kawaida tu. Umri unaenda nahitaji kuwa na familia yangu ila sijapati mwanamke aliyesiriazi na maisha.
Je, nitakuwa nakosea wapi wakuu?Izingatiwe imepita miaka mi3 sina mchumba anayeeleweka sababu huwa wanabadisha uamuzi wa mwishoni? Au nitakuwa nimeumbwa niwe single tu nini?
Ushauri plz
Kwenye swala la kusimamia kucha make sure upo vizuri
Be a bad boy
Hahahaha dah Hornet Bhanahussein mpenzi bado nakukumbuka!
hivi kumbe haujaoa?
tatizo unakibamia na pesa huna ndo maana nikakukimbia.
wewe uko vizuri....kuna kipindi nilishajaribu kuwa good boy kwa kamrembo kamoja hivi...akawa ananisumbua..nikachoka nikarudi kwenye uorijino wangu wa u bad boy...yaani nikamlamba kiulaini tena sehemu isiyo rasmi kabisa....akili zenu mnazijua wenyewe!!!
Bad boy ndo tunawapendaga sana, ukileta swagg za kilokole inakula kwako Oooh mi mpole sivuti sigara sinywi pombe ooohhh my dia nenda kalitumikie kanisa
natumiaga ila nataka wa kuoa kabisa ndio sipati kwani wengi wao ni wapenda pesa tu.
Bro tatizo lako unalalamika sana. Yaani kusoma hizi comments zako tu nimekujua kama mtu wa kulalama tuuu