Gharama zake zikoje mkuuNenda kwa matabibu wataalam wa mfumo wa haja ndogo (Urologists), mwenzio nilisumbuliwa na UTI sugu pia.
Sema mie ni mwepesi sana kukimbilia wataalam, pima vipimo vyoteikiwano PSA nikagundulika tezidume inaanza!
Nikaitibu na nishakuwa fresh kabisa sasa!
Gharama zake zikoje mkuu
Nenda kamuone mtaalamu katika hospitali yoyote kubwa aitwaye Urologist. Atakusimamia na kukusanya hatma ya figo zako mkuu.Hello! JF Doctors
Ninasumbuliwa na U.T.I almost miaka mitano sasa nimetumia dawa mbalimbali lakini hali ikawa inajirudia untill now Nina hili tatizo, Lakini kitu kinachoniogipesha sasa hivi ni kuwa na dalili zingine ambazo zinanitisha zaidi...
Andaa laki mbili hivi mkuu sbb huna bima.Sina Bima mkuu ndo maana nikauliza
Fanya hima kesho uende hospitali. Sio zahanati Nenda hospitali!Asee no brown kabisa....sometimes huwa na viuchafu Fulani kama maziwa