Nahisi nina tatizo la figo, nakata tamaa

Kipenseli

JF-Expert Member
Feb 9, 2020
800
1,050
Hello! JF Doctors

Ninasumbuliwa na U.T.I almost miaka mitano sasa nimetumia dawa mbalimbali lakini hali ikawa inajirudia untill now Nina hili tatizo, Lakini kitu kinachoniogipesha sasa hivi ni kuwa na dalili zingine ambazo zinanitisha zaidi

Moja ya hizo dalili ni kama ifuatavyo

*Uchovu kupita kiasi.

*Ganzi na mwili kukosa nguvu (sometimes huwa mikono inatetemeka kama nikifanya baadhi ya mazoezi au kazi fulani).

*maumivu ya mgongo karibu na kiuno.

*maumivu ya tumbo yasiyokwisha chini ya kitovu na kwenye chembe za mbavu.

Hofu yangu ni kuwa nimeshaathirika mpaka kwenye figo. Je, ninaweza kupona tatizo hili au mimi ndo basi tena?
 
Nenda kwa matabibu wataalam wa mfumo wa haja ndogo (Urologists), mwenzio nilisumbuliwa na UTI sugu pia.

Sema mie ni mwepesi sana kukimbilia wataalam, pima vipimo vyoteikiwano PSA nikagundulika tezidume inaanza!

Nikaitibu na nishakuwa fresh kabisa sasa!
 
Nenda kwa matabibu wataalam wa mfumo wa haja ndogo (Urologists), mwenzio nilisumbuliwa na UTI sugu pia.

Sema mie ni mwepesi sana kukimbilia wataalam, pima vipimo vyoteikiwano PSA nikagundulika tezidume inaanza!

Nikaitibu na nishakuwa fresh kabisa sasa!
Gharama zake zikoje mkuu
 
Hello! JF Doctors

Ninasumbuliwa na U.T.I almost miaka mitano sasa nimetumia dawa mbalimbali lakini hali ikawa inajirudia untill now Nina hili tatizo, Lakini kitu kinachoniogipesha sasa hivi ni kuwa na dalili zingine ambazo zinanitisha zaidi...
Nenda kamuone mtaalamu katika hospitali yoyote kubwa aitwaye Urologist. Atakusimamia na kukusanya hatma ya figo zako mkuu.
 
Pole sana . Muone daktari akusaidie kukufanyia vipimo. Pima mkojo pamoja na culture na sensitivity, pima damu kuangalia utendaji kazi wa mafigo yako, ultrasound inaweza kuboresha wigo wa kuangalia mafigo na vitu vingine tumboni. Pima na choo. Kukata tamaa kama unavyosema kunaweza kuchangia sana hali ya kujisikia mchovu , mbali na maambukizi.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom