Kipenseli
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 800
- 1,050
Hello! JF Doctors
Ninasumbuliwa na U.T.I almost miaka mitano sasa nimetumia dawa mbalimbali lakini hali ikawa inajirudia untill now Nina hili tatizo, Lakini kitu kinachoniogipesha sasa hivi ni kuwa na dalili zingine ambazo zinanitisha zaidi
Moja ya hizo dalili ni kama ifuatavyo
*Uchovu kupita kiasi.
*Ganzi na mwili kukosa nguvu (sometimes huwa mikono inatetemeka kama nikifanya baadhi ya mazoezi au kazi fulani).
*maumivu ya mgongo karibu na kiuno.
*maumivu ya tumbo yasiyokwisha chini ya kitovu na kwenye chembe za mbavu.
Hofu yangu ni kuwa nimeshaathirika mpaka kwenye figo. Je, ninaweza kupona tatizo hili au mimi ndo basi tena?