Nahisi nina MATATIZO ya KINYUMBA

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
5,703
10,168
jana nlituma thread ya fumanizi kati ya my blood brother na mke wangu.
But bad enough hata ma x gal wangu wawili nshawahi kuwafumania na watu wangu wa karibu. Nahisi nina matatizo ya kungoneka ndio maana mademu wote na watu wangu wa karibu. Kibaya zaidi wana fake orgasm na wanasema nawaridhisha, kwanini hawaniambii ukweli?
 
Sijui kama ulishatupa maendeleo ya inshu ya jana!

There you are! do your homework properly now, you now know the problem so work out. Acha mkuu kuwa busy kila wakati, tafuta muda wa kutosha wa kuwa na mwenziwako utakayempata mkuu. Life is not only about money! Its happiness!
 
jee ulijuaje kama wana fake orgasm?na jee ndoa yako ina muda gani?hao ma x wako ulikuwa nao kabla hujaoa?na kwa nini ujilaumu wewe kwa kosa alilofanya mke wako?kaa chini ongea na mke wako,usiongee nae ki hasira na umuombe akuambie ukweli kwa nini alifanya hivyo.ili ujue tatizo hasa ni nini.
 
Fo God sake dont think that!Inawezekana ukajiadhibu bila sababu ya makosa ya watu wengine,umejuaje kuwa matatizo ni yako?Acha kuhisi tafuta ukweli kwanza!
 
jana nlituma thread ya fumanizi kati ya my blood brother na mke wangu.
But bad enough hata ma x gal wangu wawili nshawahi kuwafumania na watu wangu wa karibu. Nahisi nina matatizo ya kungoneka ndio maana mademu wote na watu wangu wa karibu. Kibaya zaidi wana fake orgasm na wanasema nawaridhisha, kwanini hawaniambii ukweli?

Mkuu kama hii issue ni ya ukweli tatizo ni hao so called watu wako wa karibu...Choose your friends wisely, na kama ni ndugu zako inabidi mkaombewe....

Hakuna excuse ya rafiki yako kuku-betray..., no matter kama unawarishisha wapenzi wako au hapana..,
 
Punguza kusimulia stori kuhusu raha unazopata kwa mademu wako. Inawezekana kila unapomsimulia Bro. au rafiki unamfanya amtamani zaidi mpenzi au mke wako. Dunia hii kuna professionals wa kutongoza. Watu wa aina hii hata akimtaka mke wa mfalme atampata ilimradi ajue tabia zake na wazoeane. Inawezekana pia umezungukwa na watu wa aina hiyo.
Kuna jamaa tulisoma naye. Yeye alikuwa anawaambia madada moja kwa moja "Wewe mwaka huu hautaisha bila kunipa..." wengine wanacheka kwa dharau na wengine wakitoa matusi lakini amini usiamini siku moja utamwona mdada anamdate mshikaji tena kabla mwaka haujaisha. Baada ya kuona ile movie ya Will Smith "Hitch" niliamua kumpachika jina la Hitch. Women look so down on him at first but when he starts.... they all tend to crow towards his "Dick". He is the Devil himself.
 
usijilaumu kwa makosa ya wapenzi wako na marafiki,hata kama una mapungufu katika kuwaridhisha kimapenzi,hustahili adhabu ya wao kulala na watu wengine....wanahatarisha maisha yako,ingekuwa vizuri kama huwaridhishi ,mzungumze,ujitahidi kujirekebisha na ikishindikana muachane waendelee na maisha na wewe uanze maisha mapya.ila hiyo tabia ya kuchanga na watu wengeine sio nzuri na its unfair kwako. Jipe moyo,yatakwisha,do your part!
 
Back
Top Bottom