MR Kilimanjaro
JF-Expert Member
- May 5, 2019
- 249
- 355
Sasa si jiamini kama ni corona pia sina uhakika kama hosoital iliyo karibu inapima huu ugonjwaWahi hospitali
Sawa mkuu ika nitapimwa huu ugonjwa? Na hospitali zote wana oima hii kitu?Mkuu wahi hospitali. Usiogope. Hata kama ni corona, ukipata tiba mapema uwezekano wa kupona ni mkubwa. Usisubiri uzidiwe itakua hatari sana kwako.
Ume pita mule mule kwenye dalili walizo toa WHO..tayari wewe
naona mkuu unatoa tiket ya r i p kama wewe ndo malaika wa kifoUme pita mule mule kwenye dalili walizo toa WHO..tayari wewe
Kama huna ngwengwe jifungie ndani tu mkuu kunywa machungwa ya kutosha itapita tu....angalia usiambukize wazee na watoto..all in all nenda hospital
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kapima,ukiwa huna ulete mrejesho,endapo ikitokea umekutwa nao,ulete pia mrejesho,hasa ukipona,ikitokea umekufa kwa huo ugonjwa,R.I.P,dunia ni mapito.
Nataka nianzie duka la dawa kwanza ikigoma bas nakomaa na kifo.Mkuu usitishike hiyo ni hali ya kawaida we Chapa kazi tu.
Kwa hii hali ya mafunzoni leo sijaenda kuhofia kusambaza (kama nitakua nao) na leoleo wame sitisha kwa muda hadi taarifa itakapo tolewa.Jiweke karantini au kuwa isolated mapema kabisa kabla ya kuambukiza wengine.
Na uki mfwata ana kohoa tena. Yani unaongeza korona juu ya koronasasa nifanye nini? Nataka nimpate yule maza nimnyookee atoe maelezo ya kutosha
Qn