Enzi zetu za ujana hizo movies za kutisha tisha ndio zilikuwa za kupigia warembo...
Akijisogeza tu maskani basi unamuwekea hiyo midude bandika bandua...
Basi mlimbwende hapo lazima akukumbatie kwa sana, Mungu si mzee Mkumba by the time movie inaisha ile mikumbatio ya uoga inakuwa ishaanzisha safari ya kwenda milima ya Udzungwa...alaah!!!