Nahisi nimenyewa, Mambo yangu yote hayaendi

Wakuu,,
Nahisi kabisa toka moyoni kuna mtu kaniwekea kimavi.Yaan vitu vyangu vyote haviendi madili yote yanabuma…
.
Mkuu, hiyo tu kutambua kuwa kunankitu hakiko sawa ni hatua ya ushindi, maana yake unajijua mwenyewe jinsi mambo yako yalivyokuwa yakienda na unayapima namna yanavyoenda sasa.

Hapo baada ya kuhisi kuwa kuna tatizo, anza kuomba sasa Mungu ujue ni tatizo gani exactly, usikisie kisie. Ukiomba kwa kumaanisha, Mungu atakuonesha njia.

Hata hivyo, kikulacho ki nguoni mwako. Wabaya ni watu wako wa karibu sana.
 

Asante mkuu
 
kuna hii midoli ya kupachika nguo, nasikia watu wa madukani wanaweka majini humo
ukiugusa tu mdoli nyota yako inaenda
 
Is this serious? Au ni kuogeshwa mikojo tu?
 
Kwann usinitibu nikiwa bado sijaukojoa? Si upo mwilini mwangu? Kwann usizuie baya lisinipate nikiwa bado sijaukojoa..kwann mpaka niogee au kunywa tena!!
Hapo jiulize kwann ukitoka haja kubwa unashauriwa unawe vzr na subuni wakati umetoka kukishika kilichopo mwilin mwako kwanini haunuki mkojo wakat upo ndan ya mwil wako
 
OKOKA MPOKEE YESU... INGIA CHUMBANI KWAKO FUNGA MLANGO OMBA TOBA KWA YESU ATAKUSAMEHE NA UISHI MAISHA YA KUMPENDEZA YEYE.

HAUTAONA TENA KUNYEWA MAMBO YAKO YATAKUWA SAFI.
Nipe mechanism gani inatumika unapokaa chumbani kuomba alafu huku nje mambo yawe safi, au ni through osmosis nini?
 
Tatizo lako linaanzia kwenye ulimwengu wa roho. Tafuta mchungaji mmoja mzuri mweleze tatizo lako utapata majibu ndani ya mwezi mmoja
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…