Nahisi nimenyewa, Mambo yangu yote hayaendi

Ilishawah zungumziwaga humu na chumvi ya mawe
 
Nakazia

Ni rahisi sana kuamini umelogwa kuliko kukubali umekosea mahali

Tatizo hatuwezi kujua hali yake kwa undani, tumuache tu atafute 'dawa' ili ajiskie vizuri

Well kwangu mm nakubali yawezekana !!

shida inakuja kwene matokeo!! Kuna vitu huwaga vinaenda tu naturally!!
Lakin sasa ivi vinagota vyote!

Yaan mambo yanaenda yanaenda kwene matokeo kitu kina pita Pyuuuuuuu!!
 
FANYA IBADA...TOA SADAKA
 
Na ukienda kusafisha nyota kwa mganga sijui nabii, anaikwiba nyota yako unaanza kuishi mjini kama debe...

mara nyingi siamini mambo hayo lakin saizi nahisi yanaanza kuniingia akilini
 
Njoo kupeleke kwa mganga paje hilo jini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…