Nahisi nimeimbiliziwa (Nimerogwa) nisitoboe

Aisee

Nalipwa 1.9M lakini ukiniangalia maisha yangu utacheka
  • Sina gari
  • Sina nyumba
  • Kiwanja ninacho
  • Sivai vizuri
  • Sili vizuri
  • Sipigi bata
Lakini katikati tu ya mwez nmeishiwa!!

Yaani najikuta hela inanitoka kwenye mazngira ya ajab ajab!! Sisemi inatoweka kama zile za chuma ulete NO but nikipata mshahara tu vishida na visababu vya kutumia hela vijatokea kusikojulikana!!

Mfano jana nimechelewa kuamka kwenda kazini ikabidi na kulikuwa na ugeni!! Na mimi ofisini ni mtu muhimu sana so ikabidi nikodi boda hadi kazini 13,000

Nilipofika nimesahau flash na ilikua na document muhimu ikabidi nirudi kwenda kurudi 26000
Bado sijala
Bado sijarudi jioni

Actually tuvitu twingi twingi tunasababisha hela itumike ili mradi iishe tu.

Nawaza kazi ikiisha ntaishije

Kuna shida gani hapa

We unaonaje? Share experience

Tengeneza list uwe unacheck kabla hujatoka home nini unatakiwa kwenda nacho afu tenga hela ambayo iwe isiwe lazima iende saving.. usiambie watu mshahara wako maana kuna ndugu wanalia shida mwisho wa mwez hata kama hakuna shida sababu anajua unapokea pesa nyingi
 
Kitu cha Kwanza kabisa..

Unakaa mbali sana na Kazini.

Unajua sehemu ya Boda Elfu 13 ni kama Ubungo hadi Kongowe ya Mbagala au zaidi.

Kwa mshahara wako unaweza pata nyumba sehemu ya jirani na kazini kwako let's say kazini Posta (assume unakaa Dar), unakaa apartment moja kali sana hapo Kigamboni. Nauli haizidi elfu 2 kwa boda siku nyingine unapanda kivuko the rest unatembea.

Cha pili,

Acha kufurahisha kila mtu. Yaani unajitia Yesu sana kila mwenye shida una mtatulia. Na mimi nina tatizo ili na ndio target yangu Feb nilitatue.

Tatu

Anza kutrack matumizi yako
. Tumia App mfano ya Money Manager unaipata Android na iOS. Una customize the way unavotaka. Itakuonesha ni wapi unatumia zaidi hela so wewe utaamua ufanyeje.

Ngoja nikuoneshe screenshot ya App kwangu mwezi January..

View attachment 1688772

Mimi ugonjwa wangu Giveaways najifanyaga Mwema sana nagawa sana misaada. February nabadilisha namba manina.

Bike na gari ni therapy. Nakaa jirani na kazini ila hivo vinanipa therapy ndio maana matumizi nayo makubwa.

Ila utaona no mavazi, no beers, sili vizuri, sina maendeleo. Am too f***d up sema atleast najua wapi nakosea.

Jaribu man mwezi Feb huu hafu tuone mzee baba. Achana na wanaosema tafuta kipato cha pili wewe hata ukiwa na Million 6 kwa mwezi wewe tatizo lako lipo pale pale.
Hii nitajaribu.
 
Aisee

Nalipwa 1.9M lakini ukiniangalia maisha yangu utacheka
  • Sina gari
  • Sina nyumba
  • Kiwanja ninacho
  • Sivai vizuri
  • Sili vizuri
  • Sipigi bata
Lakini katikati tu ya mwez nmeishiwa!!

Yaani najikuta hela inanitoka kwenye mazngira ya ajab ajab!! Sisemi inatoweka kama zile za chuma ulete NO but nikipata mshahara tu vishida na visababu vya kutumia hela vijatokea kusikojulikana!!

Mfano jana nimechelewa kuamka kwenda kazini ikabidi na kulikuwa na ugeni!! Na mimi ofisini ni mtu muhimu sana so ikabidi nikodi boda hadi kazini 13,000

Nilipofika nimesahau flash na ilikua na document muhimu ikabidi nirudi kwenda kurudi 26000
Bado sijala
Bado sijarudi jioni

Actually tuvitu twingi twingi tunasababisha hela itumike ili mradi iishe tu.

Nawaza kazi ikiisha ntaishije

Kuna shida gani hapa

We unaonaje? Share experience
1.9m ........
Aisee ,mshkuru Mungu sana mkuu.
 
Rudi kanisani katoe fungu la kumi bila kuiba,saidia wahitaji kama yatima,wajane n.k.Baada ya hapo utarudi kunishukuru.
 
Aisee hii kutu imenitokea, tena Mimi imezidi hapo ila niliishia kununua ka ist ambako natembea na kidumu cha mafuta.
Kibaya zaidi mshahara ukiingia tu matatizo yanazidi kiwango cha mshahara na bado naishia kulaumiwa na kuitwa roho mbaya.
 
Hivyo vishida vidogo vinatoa hela kwenye akaunti yako au huwa unatoa mwenyewe?! Tatizo lako ni kuwa huna financial discipline. Huna nidhamu ya fedha wala malengo na fedha zako.

Ni kawaida kuona mko ofisi moja mna mshahara Sawa ila mwingine amejenga na kununua gari wengine hawana chochote na wanabaki kujipa moyo fulani mwizi!
Hili tatizo ninalo pia

Nikiwa sina hela naandika malengo na mahitaji,

Nikishika nabadili malengo,najipa moyo nitafanya next time
 
Kibaya zaidi mshahara ukiingia tu matatizo yanazidi kiwango cha mshahara na bado naishia kulaumiwa na kuitwa roho mbaya.

Mkuu maneno huwa hayaishi, anza na wewe. Nilijifunza hii kitu the hard way, mtu hata ukimsaidia vip bado kuna watu hawaridhiki. Anza na kujiimarisha mwenyewe kwanza, watu wataongea sana ila ukiwasikiliza wote umekwisha. Ndo maana watu wenginwaliotoboa huwa wanaonekana ni makauzu sana ila kuna siri kwenye kuwa kauzu maana pesa yako haiwezi kwenda bila mipangilio
 
Hiyo kazi uliipata kwa uwezo wako binafsi au vimemo?
Aisee

Nalipwa 1.9M lakini ukiniangalia maisha yangu utacheka
  • Sina gari
  • Sina nyumba
  • Kiwanja ninacho
  • Sivai vizuri
  • Sili vizuri
  • Sipigi bata
Lakini katikati tu ya mwez nmeishiwa!!

Yaani najikuta hela inanitoka kwenye mazngira ya ajab ajab!! Sisemi inatoweka kama zile za chuma ulete NO but nikipata mshahara tu vishida na visababu vya kutumia hela vijatokea kusikojulikana!!

Mfano jana nimechelewa kuamka kwenda kazini ikabidi na kulikuwa na ugeni!! Na mimi ofisini ni mtu muhimu sana so ikabidi nikodi boda hadi kazini 13,000

Nilipofika nimesahau flash na ilikua na document muhimu ikabidi nirudi kwenda kurudi 26000
Bado sijala
Bado sijarudi jioni

Actually tuvitu twingi twingi tunasababisha hela itumike ili mradi iishe tu.

Nawaza kazi ikiisha ntaishije

Kuna shida gani hapa

We unaonaje? Share experience
 
Mwingine niwewe mkuu naona unaandika hivi.

Robert kiyosaki aliliona hilo kabla hujaanza shule rat-race is real hakuna cha uchawi hapo.
 
Back
Top Bottom