Nahisi nimebaki mwenyewe sasa msaada

Ahahahahahahahah Khantwe embu msahuri huyu, au kamata fursa timua zako
Alafu demu unatongozwa kwa hela tu na simaneno wapi miss chagga
 
Last edited by a moderator:
Wanawake kwa tafiti za watafiti wako wengi kuliko wanaume,inakuwaje ukose hata mmoja? wakati wenzio wanao kuanzia 2!!!! toa pesa babaaaa na utafanikiwa sio maneno tu
 
Itakua unawafata wenye asili ya Kichagga maana hawataki mtu asie na muelekeo.
 
Hahahahaha sasa wangoja nn? umechelewa kweli yaonekana wew ni mbanifu wa pesa shauri yako!!
 
wakazie wewe hao wanyama wetu ndo walivyo chukua mfano ushawahi muona Jogoo anavyomkimbiza koo........huku na kule ila siku ya siku anamkuta amechutama mbele anasubiria dushelele !!usitongoze kama unafanya application ya fedha kwa mzazi wakazie
 

Demu??QN umeacha kunyinya tayari na una hela?????
 
Aisee nikiwa na umri huo walinikoma,nilitembea mpaka na sista wa parokia,acha hizo bhana piga sound mpaka unajifanya unalia unataka kujiua
 
Utavunjika kiuno mtoto mdogo sana..em wahi darasani fastaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…