Geofrey_GAMS
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 496
- 229
not all the time,,,so;etims it works
ok ntazingatia za kuambiwa ntajiongeza na zanguhuwa olwayz haiwork trust me, lazma kuna m1 atacheat sema tu huwez kugundua, possibility ya kutosalitiana ni 1%, yan ni 99% kuna m1 atafany usaliti, love is about presence, hata kama umependwa sana unaweza ukakuta unasalitiwa mkiwa kwny long distance, kama upo kwny long distance just be ready 4 anythng at anytime
usijali mkuu ntaleta mrejesho wa yaliyojiri