ni kweli mkuu ndo mana nimeona niingie garama za kwenda il nijue ukweli wa either kuendelea nae au mambo yaishie apo,,,inaumiza sanai cant imagine hayo maumivu utakayo yapata ukithibitisha kwamba anakucheat........ila endelea na plan ni bora kujua ukweli mapema kuliko kupoteza muda.
tunaish mikoa tofautimnaishi mkoa gani kwa sasa bwana magombe junior?
nimekua na mahusiano na mpenz wangu kwa muda sasa (takribani miez 5 sasa),,mwanzon tumekua tukiwasiliana kwa karibu sana na kunifanya nijiskie amani na kusahau kuhus wasichana wengne,,,,kifup amenifanya niwe mwaminifu sana,,
cha ajabu ni ck za apa karbun ambapo gafla amepunguza mawasiliano kwa madai shule imebana,,,namtumia txt anachelewa kujib,,,sitak kuamin kua mpenz wangu huyu anani-cheat ila naamin kwel mambo yamebana,,
nilichopanga kukifanya ni kwenda kumsalimia kwa suprise,,kwamba simwambii kua naenda mkoa aliko ila atashtukia kuniona thn ntapata nafas ya kuikagua cm yake for good il nijue moja maana ata raha nae tena sina mekua mpweke mnoo,,
wana mmu plz naombeni mnishauri,,,niko sawa kwa uamuzi wangu huo!!
tunaish mikoa tofauti
yeye anasoma alipo mimi nafanya kazi mkoa nilipo
Ukitaja mkoa unahisi Excel atafanyeje?
binafsi hua siamin katika kukaguana cm,,,cjawah kufanya icho kitendo kwa ma x zangu ote ila kwa uyu nahitaji kuondoa doubt coz nimeplan kumuoa na tayar naingia garama nying kwa ajil yake,,Mkuu be strong! Muulize auseme kwa kinywa chake mwenyewe,kama yuko tayari kuendelea na uhusiano muendelee (hapa muwekee kabisa ultimatuma akizkiuka muache). Kwenye mahusiano people need sometime alone sometime. Usipuuzie wasiwasi wako. Mi siamini hii habari ya kuchunguzana kwa simu,it is way too low and feminine!
Unataka kutafuta pressure bure
wewe sumwambie tu kuwa mbona umebadilika sana tofauti na zamani kisa masomo inamaana zamani masomo hayakuwepo
uende huko ukute anajemba uje upigwe bure tu uje na manundu wewe kama kaanza kubadilika mwambie na kama hataki piga chini au unasomesha maana siku hizi kijana akitaka kuwa na sifa mpaka asomeshe mpenzi wake baadae wanapigwa chini wanatamani kujiua kama husomeshi mwambie akikataa piga chini kwani yupo yeye tu kuna wengine wazuri tu ya nini kujibebesha mawazo