mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,440
- 2,966
Ndo hivo mkuu.Kwel unayo nuksi mda wote huu uzi una reply chache
Hata I'd za kike zinauchungulia haziujibu
Ha ha ha [emoji3]Nasikia et dawa ya hawa ndugu zetu ni kuwagawia pesa tu. Yaani we gawa kama vile unatoa rushwa kwenye mkutano wa taifa mkuu.
Sawa mkuuTafuta pesa kwa bidii hata harmonize alikuwaga ivyo ivyo tu
Swagger bila pesa haviendani. Fanya mchakato wa kuwa vzr financially watakuja wenyewe."Mzee wa kasumba"
Ninakabiliwa na matatizo makubwa hasa katika upande wa kusaka ngenya / papuchi / vipochi manyoya.
Siku kadhaa zilizopita nilileta UZI wa kudai kuwa Nina upepo wa kuachwa achwa na wanawake. Sasa Hili jambo naona linazidi kushika kasi kwangu.
Kibaya zaidi nikwamba hata nikimtaka binti ama msichana huwa ananikataa vikali Sana. Na hili suala bwana kwangu si kawaida kabisaaaaaaaa.
Daah mpaka najishangaa kijana mimi mwenye swaga tele kweli Mimi ni wa kukataliwa?Oooh jamani nahisi kuna kitu hapa.Kitu gani kimenikumba mimi kijana mwerevu?Kitu gani kimenikumba mimi mwanaume wa mbegu?Nisaidieni jamani
Nifafanulie immature.wanawake wana uwezo wa kudetect vitu.
Kwa jinsi ulivyojielezea inaonesha ukienda kuongea nao wanadetect kuwa upo immature.
unaweza ukamkwapua mmoja bahati mbaya ila baada ya mda atadetect tu wewe ni immature, na ndio itakua mwisho wako wa kula vinono.
una utoto.Nifafanulie immature.
Lugha kidogo imenipiga chenga
Anhaaa Sawa mkuu. Ntaacha utotouna utoto.