Yours_sincerely
Member
- Jul 12, 2023
- 79
- 299
Mume wangu aliponichoka.
Nikimkumbatia anasema nampotezea mda
Nikimsemesha anasema "aaarghhh usinichoshe"
Kukiwa na jambo la kujadili anasema 'unanipigia keleleee"
Nikimuomba anisaidie kitu. Mfano nahitaji nibadilishe uelekeo wa kitanda, anasema kila kitu usaidiwe tu.
Tukipishana kauliv naambiwa "we ni mbwa"
Kwenye tendo sasa

anataka afanye anavyopenda. Ukiomba ushikwe sehem anasema nimechoka
huyooo anasepa
Sasa nimekonda kweeli. Stress na shida, ananiambia Unakonda sababu ya roho isioridhika
wewe ni wale wanawake wasioridhikaaa.
Namwambia nifanyeje unipende? Kasema labda ule unenepe univutie upya
mi mwenyewe napenda vitu vizuri
Najua kabisa amenichoka, hanipendi tena

Nikimkumbatia anasema nampotezea mda

Nikimsemesha anasema "aaarghhh usinichoshe"
Kukiwa na jambo la kujadili anasema 'unanipigia keleleee"
Nikimuomba anisaidie kitu. Mfano nahitaji nibadilishe uelekeo wa kitanda, anasema kila kitu usaidiwe tu.
Tukipishana kauliv naambiwa "we ni mbwa"

Kwenye tendo sasa

anataka afanye anavyopenda. Ukiomba ushikwe sehem anasema nimechoka
huyooo anasepaSasa nimekonda kweeli. Stress na shida, ananiambia Unakonda sababu ya roho isioridhika

wewe ni wale wanawake wasioridhikaaa.Namwambia nifanyeje unipende? Kasema labda ule unenepe univutie upya
mi mwenyewe napenda vitu vizuri
Najua kabisa amenichoka, hanipendi tena

tatizo Ni iz changamoto tuu.