Nahisi mpenzi wangu ana bwana mwingine

Tuwe tunasoma na tarehe ilivyoandikwa. Huyu kaandika miaka 6 iliyopita, sasa ni wakati wa mrejesho
 
sijui nikupe tusi kidogo.... yaan mshapanga muonane tena..!!!!
hiyo ya mwanzo siyo janga sasa ajali mbaya inakujia na utakuja humu tena kuomba ushauri boya we...
 
Yaan watu wa hivi wanakera mbaya! Unaomba ushaur gan, au unaona raha kuandika uzi mpya,
Akhhhhj
 
Chamsingi.. Sameheaneni Kabisa.. Halafu Angalia Moyoni mwako na ujihakikishie kwa dhati ni kweli unpenda? Au unamtamani? Kwasababu kupenda na kutamani ni ngumu sana kutofautisha.. Ukishajihakikisha na kujiridhisha kua kweli unampenda. Ni kucheki Afya zenu? Pia jiulize uko tayari kumchukua kulingana na Majibu yyte mtakayopata Hospital? If Yes.. Chukua hatua za kulipa Mahari Msikaribiane wala kugusana (sex) mpk Muoane.. Kwasababu kwakusex hyo ni dhambi kubwa na mnatafuta laana kwenye Mausiano Yenu. Oaneni Kwanza ndio mfanye tendo la ndoa
 
Kwa uzoefu wangu inaonesha alikua na mtu wakat ule anakuzingua na haswaa ndie aliekua anampa kiburi... Kwa namna yeyote atakua either ameachana nae au jamaa haelewek so anakuona ww option... Mkubalie ila ujue when she had another better option (ambapo ww sie) she gona let u burn in hell,, tumia akili kufukiri sio moyo
 
Ndugu yangu bora makahaba kuliko huyo demu wako atakuletea ukimwi ooh wanawake ni pasua kichwa
 
kumrudia yeye haina tofauti na kusex wale ulowaogopa usipate ukimwi. Tafakari chukua hatua.
 

Akikubali uwezakano wa kupata mwanaume mwingine na kumuacha tena ni mkubwa.
 
Huyo alienda akapandiwa mwisho akatemwa sasa hana pakwenda amebaki kukurudia wewe akutumie..usihofu nenda kapimwe naye ukimwi kisha umuoneshe kama mapenzi ya dhati ila safari hii uichape hiyo ngoma kisawasawa,yani chape ilale mara kadhaa atabaki kukuheshimu
 

Acha umbugila mkuu unachezewa akili.
 
Huyo anakupenda sanaa usimwache tena huyo anachanjo yanukimwi ukimuacha tuu utakoma na ukimwi
 
Huyo hakupendi,anakutumia kama plan C ikiwa mipango yake inakwenda tofauti...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…