mchuziwapweza
Senior Member
- Aug 19, 2018
- 107
- 149
"Mapenzi yanarun dunia aseeee"Nahisi mpenzi wangu ameniacha! Ndugu zangu mwenzenu nimejikuta nipo kwenye wakati mgumu. Mpenzi wangu kwa sasa amebadilika sana, alizoea kunicall kila asbh lakin kwa saiv mambo yamebadilika yupo kimya sana. Nimekaa nikafikilia inawezekana penzi langu lishamchosha, au kwa vile hua nampa penzi mara nyingi ndo imekua tatizo? Zile suprise alizokua akinifanyia imebaki stor tu, hata sms ananitxt akijisikia.
Naombeni ushauri wenu nifanyaje
Kwa mda gani?Mwulize wakati mwingine stress zinaweza mfanya mtu akabadilika.Ongeeni.Nahisi mpenzi wangu ameniacha! Ndugu zangu mwenzenu nimejikuta nipo kwenye wakati mgumu. Mpenzi wangu kwa sasa amebadilika sana, alizoea kunicall kila asbh lakin kwa saiv mambo yamebadilika yupo kimya sana. Nimekaa nikafikilia inawezekana penzi langu lishamchosha, au kwa vile hua nampa penzi mara nyingi ndo imekua tatizo? Zile suprise alizokua akinifanyia imebaki stor tu, hata sms ananitxt akijisikia.
Naombeni ushauri wenu nifanyaje
Mrembooo mbon iyooo n ngum kumezaMuache tu naww
Nahisi mpenzi wangu ameniacha! Ndugu zangu mwenzenu nimejikuta nipo kwenye wakati mgumu. Mpenzi wangu kwa sasa amebadilika sana, alizoea kunicall kila asbh lakin kwa saiv mambo yamebadilika yupo kimya sana. Nimekaa nikafikilia inawezekana penzi langu lishamchosha, au kwa vile hua nampa penzi mara nyingi ndo imekua tatizo? Zile suprise alizokua akinifanyia imebaki stor tu, hata sms ananitxt akijisikia.
Naombeni ushauri wenu nifanyaje