tandabui2021
JF-Expert Member
- Nov 5, 2021
- 3,120
- 5,375
This is not inferiority complex women wanasomeka if things are not rightIs this inferiority complex?
Kama umemchunguza hujaona chochote. Bado huna amani naye.
Kazini achelewe kutoka kila siku? Ina maana yeye anabanjuka na huyo mwanaume kila wa leo?
Ningeona sawa, ungechukua hatua kwenda kazini kwake. Ujue muda wa kutoka, huenda utaratibu umebadilika.
But you can trust your instincts.
Sasa mbona bado wengine tunaelekea kuoa na mambo bado haijatengamaa, me nawashauri watu waoe kimkataba.Trust your guts . Angalia recently deleted messages , archived chats , na recently deleted calls . Utashangaa . I had the same situation . Upo sahii . Ni swala la mda tu
Am not married and never married. Story yangu ni different Ila this was the year I could Have gotten married . I had her changed on me . My gut was right the truth was right . I walked away . Same rule . Achana na demu kwao maskini, Single mother families , na mlevi .Sasa mbona bado wengine tunaelekea kuoa na mambo bado haijatengamaa, me nawashauri watu waoe kimkataba.
Sasa bichwa la habari mbona haliendani na utumbo wa habari?Mimi nimea ,Nina mke na watoto,kazi yangu ni kazi ya kusafiri safiri ,Huwa ni siku chache sana naweza kupata nafasi ya kuwa nyumbani na familia.tatizo nimeanza kuona mabadiliko Kwa mwenzangu , kwenye masuala mbali mbali,yaani hata anavyojibu maswali,sioni kama mwenzangu anashauku na familia kama mwanzo,Sasa hivi Huwa anachelewa sana kurudi job na Huwa sababu ninazopata ni kuwa kazi ni nyingi,ilihali naifahamu kuwa kazini kwao mida ya saa kumi wanakuwa wamemaliza majukumu.kwenye simu hataki tena niguse simu yake ,though sijawahi kukuta kama Kuna dalili ya kusema Kuna mtu anachati naye,nimeshamchunguza sana sioni kama Kuna dalili ya kuwasiliana na mtu yeyote ila ninavyohisi ni kama napigwa na kitu kizito kichwani.nikijaribu kumweleza anasema hawezi kufanya kitu cha namna hiyo ingawa naona hisia zangu zinanituma kuwa Kuna jambo halipo sawa.Mimi naona ni Bora mtu kuwa single .Sasa wadau ni namna Gani naweza kuthibitisha haya mashaka yangu?ni aina Gani ya technolojia inaweza kujisaidia?
Hapo ndipo na mimi nimekwamia kichwa cha habari na habari yenyewe vinakanganyana km mfalme zumalidi (ni wa kike hyu lkn ni mfalme).Mkuu tandabui2021, umefanya makosa ya kiuandishi au ndiyo kweli mmeolewa mitala? Maana, kwenye kichwa cha mada umesema 'mke mwenzako' lakini kwenye habari unazungumzia kuoa na unayemzungumzia ni mke wako...lipi ni lipi?
Mkuu, jitahidi na uamue kutomfuatilia mwenza wako. Jiweke mbali na simu yake na acha kuishi kwa hisia na wasiwasi. Dhambi ina tabia ya kujianika. Iko siku, utayaona na kuyathibitisha bila hata ya kuyafuatilia.
Live your peaceful life Mkuu!
Mimi nimea ,Nina mke na watoto,kazi yangu ni kazi ya kusafiri safiri ,Huwa ni siku chache sana naweza kupata nafasi ya kuwa nyumbani na familia.tatizo nimeanza kuona mabadiliko Kwa mwenzangu , kwenye masuala mbali mbali,yaani hata anavyojibu maswali,sioni kama mwenzangu anashauku na familia kama mwanzo,Sasa hivi Huwa anachelewa sana kurudi job na Huwa sababu ninazopata ni kuwa kazi ni nyingi,ilihali naifahamu kuwa kazini kwao mida ya saa kumi wanakuwa wamemaliza majukumu.kwenye simu hataki tena niguse simu yake ,though sijawahi kukuta kama Kuna dalili ya kusema Kuna mtu anachati naye,nimeshamchunguza sana sioni kama Kuna dalili ya kuwasiliana na mtu yeyote ila ninavyohisi ni kama napigwa na kitu kizito kichwani.nikijaribu kumweleza anasema hawezi kufanya kitu cha namna hiyo ingawa naona hisia zangu zinanituma kuwa Kuna jambo halipo sawa.Mimi naona ni Bora mtu kuwa single .Sasa wadau ni namna Gani naweza kuthibitisha haya mashaka yangu?ni aina Gani ya technolojia inaweza kujisaidia?
Nilitaka nimuulize hivyo pia. Jamaa ameshavurugwa, twende nae pole poleKwahiyo ni mke mwenzio au ni mkeo????
Hebu andika vizuri basi
🤣🤣Nilitaka nimuulize hivyo pia. Jamaa ameshavurugwa, twende nae pole pole