Nahisi mitandao ya simu huwa wanatudanganya katika mobile data.

Cvez

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2018
Posts
4,498
Reaction score
13,729
Hivi hii mitandao ya simu hawatuibii kweli kwa kutuaminisha kua wanakupa kifurushi cha Mb 500 au Gb 1 lakini kiuhalisia sicho? Kwa sababu ukiangalia muda wa hicho kifurushi haufananii na kiasi ulicho amini unacho kifurushi kinatiririka utahisi unebeba maji kwenye ndoo iliyotoboka. Ingawa mtu anaweza dai kua inategemea na matumizi yako lakini, kwa mtazamo wangu binafsi tunachopewa sio tulichonunua. Ingawa Tanzania ni moja ya nchi yenye cheapest mobile data katika Africa ila sio sababu ya kutuzuia kuhoji kama tulichonunua ni sawa na tulicho ahidiwa.
 
Ukiwa tayr kununua mbuzi kuwa tayr kununulia kwenye gunia pia
 
Hivi hii mitandao ya simu hawatuibii kweli kwa kutuaminisha kua wanakupa kifurushi cha Mb 500 au Gb 1 lakini kiuhalisia sicho? Kwa sababu ukiangalia muda wa hicho kifurushi haufananii na kiasi ulicho amini unacho kifurushi kinatiririka utahisi unebeba maji kwenye ndoo iliyotoboka. Ingawa mtu anaweza dai kua inategemea na matumizi yako lakini, kwa mtazamo wangu binafsi tunachopewa sio tulichonunua. Ingawa Tanzania ni moja ya nchi yenye cheapest mobile data katika Africa ila sio sababu ya kutuzuia kuhoji kama tulichonunua ni sawa na tulicho ahidiwa.
Tatizo ni wapi utaenda kuhakikisha kiwango cha bundle uliyonunua na kama unapewa chote

Kweli mtu mweupe ametuacha mbali sana akiamua kukuibia anaiba tu na hutojua pa kuanzia ili umnase au aamue kutugeuza upande anaotaka inabidi tugeuke tu hamna namna afanye yake
 
Hapo ndio tatizo ni ngumu kutambua kabisa. Tutabaki kuugulia tu.
 
Buchani tu ukigeuka mangi kashapunguza nyama kwenye mzani sembuse bundle ambalo hata hulioni...
 
Hivi hii mitandao ya simu hawatuibii kweli kwa kutuaminisha kua wanakupa kifurushi cha Mb 500 au Gb 1 lakini kiuhalisia sicho? Kwa sababu ukiangalia muda wa hicho kifurushi haufananii na kiasi ulicho amini unacho kifurushi kinatiririka utahisi unebeba maji kwenye ndoo iliyotoboka. Ingawa mtu anaweza dai kua inategemea na matumizi yako lakini, kwa mtazamo wangu binafsi tunachopewa sio tulichonunua. Ingawa Tanzania ni moja ya nchi yenye cheapest mobile data katika Africa ila sio sababu ya kutuzuia kuhoji kama tulichonunua ni sawa na tulicho ahidiwa.
Vyuma vimekamata hadi mtu anaanzisha uzi kuhusu kuibiwa bundle. Nakushauri kuwa na matumizi sahihi ya internet haswa mnapoangalia video utube insta, na ukumbuke kutiacha softwares katika background
 
Hii haina uhusiano na vyuma kukaza ina husiana na mada husika. Jaribu tu kutafakari.
 
cheza mbali na halotel, hao jamaa hatari sana kwa wizi wa mb.
Tena hawa ndio wamezidi miaka ya 2016. Halotel Mb 500 unafanya live streaming mechi ya dakika 90 na masalia yanabaki ila sasa ukiingia YouTube humalizi nusu saa tena umeangali Ile 114K. Ila bado kuna watu wanadai eti angalia matumizi yako tu hakuna wizi.
 
nimelitupa hata hilo laini lao.
 
Tatizo ni wapi utaenda kuhakikisha kiwango cha bundle uliyonunua na kama unapewa chote

Kweli mtu mweupe ametuacha mbali sana akiamua kukuibia anaiba tu na hutojua pa kuanzia ili umnase au aamue kutugeuza upande anaotaka inabidi tugeuke tu hamna namna afanye yake
hautaki kujifunza lakini mitandao haikuibii mb zako ila wewe ndo unatumia mb zako bila kufahamu kuwa zinaenda vipi

wengi huamini video youtube ya dakika 5 inakura mb chache kuliko ya dkk 20

lakini inaweza video ya 4k ya dkk tano ikalamba mb 300 zako
wakati ya 360p ya dkk 20 ikalamba mb 50 tu

RESTRICK background data
wengi hawafahamu hata gallery callendar calculator zinatumia mb zako
sasa jenga picha wewe uloweka APPS kibao zisizo na kazi kwako zitakula tu mb zako
sasa ukiset restrick background yaan kutoruhusu app kutumia data zikiwa hazijafunguliwa au hazipo active utasave mb zako kwa kiasi kikubwa

NOTIFICATION
turn off notification kuepuka apps kurun hata kama hutaki kwa wakati huo kwa mfano kuna watu kitendo cha kuwasha data tu hizo notification hatari si facebook opera youtube instaglam nk
wkt hapo umewasha kutaka kuona picha moja ulotumiwa whatsaap lkn kutokana na notification nyingi unajikuta unatumia mb za ziada ambazo zingekusave mpk jioni
ruhusu nitification kwenye apps chache muhimu tena zisizo na usumbufu hata whatsapp block nitification magroup

APPS zinazopenda video
kuna watu wanaamini video za INSTA na STATUS za whatsaap haziri sana mb
asikwambie mtu instaglam ndo inaongoza kwa kumaliza mb akifatia mjomba whatsaap na status za video
wenzako wamejiunga na vya SOCIAL wewe una mb za kawaida halafu kila status za video insta huko na whatsaap unataka uone hapo lazima ulalame mb zako zinaibiwa
 
Point Mkuu...!
Hivi hii mitandao ya simu hawatuibii kweli kwa kutuaminisha kua wanakupa kifurushi cha Mb 500 au Gb 1 lakini kiuhalisia sicho? Kwa sababu ukiangalia muda wa hicho kifurushi haufananii na kiasi ulicho amini unacho kifurushi kinatiririka utahisi unebeba maji kwenye ndoo iliyotoboka. Ingawa mtu anaweza dai kua inategemea na matumizi yako lakini, kwa mtazamo wangu binafsi tunachopewa sio tulichonunua. Ingawa Tanzania ni moja ya nchi yenye cheapest mobile data katika Africa ila sio sababu ya kutuzuia kuhoji kama tulichonunua ni sawa na tulicho ahidiwa.
 
Hivi hii mitandao ya simu hawatuibii kweli kwa kutuaminisha kua wanakupa kifurushi cha Mb 500 au Gb 1 lakini kiuhalisia sicho? Kwa sababu ukiangalia muda wa hicho kifurushi haufananii na kiasi ulicho amini unacho kifurushi kinatiririka utahisi unebeba maji kwenye ndoo iliyotoboka. Ingawa mtu anaweza dai kua inategemea na matumizi yako lakini, kwa mtazamo wangu binafsi tunachopewa sio tulichonunua. Ingawa Tanzania ni moja ya nchi yenye cheapest mobile data katika Africa ila sio sababu ya kutuzuia kuhoji kama tulichonunua ni sawa na tulicho ahidiwa.

internet unayo tumia hipo vizuri ndio maana mifumo ya apps zako inaona bora kujiachia kwa kuwa bandwith yako ni kubwa.
kama simu yako ina apps nyingi fanya kupunguza au kuzia system yako ziwe off mpaka utakapo ziitaji wakati wa kutumia.
angalia matumizi ya apps unazo tumia asilimia nyingi kama mitandao ya kijamii ambayo ina video,picha inaweza kuwa chanzo kikubwa cha kumaliza data kwa ukasi wa internet.
nenda setting ya app na kuzibiti kiwango cha matumizi.
 
Mbona meter kwenye simu zipo mkuu na kila app inaonyesha imetumia kiasi gani cha data?

Cha kufanya kila ukijiunga restore data usage ili kifurushi kikisha uangalie je zimetumika sahihi.
 
Mchawi wapi data zako ni
1.insta
2.facebook
3.youtube
4.auto update ya applications
 
Mchawi wapi data zako ni
1.insta
2.facebook
3.youtube
4.auto update ya applications
Ni hizi applications zinameza data, ila kuna mitandao data zao zinaisha haraka kuliko kawaida. Usije ukasema ni kwa sababu ya speed ya internet, kwa maana hapo awali ilikua na speed nzuri tu kuliko sasa yet bando linakaa mda mrefu. Mf Halotel au ukiwa na baadhi ya mitandao bando linaisha zaidi?
 
Tena hawa ndio wamezidi miaka ya 2016. Halotel Mb 500 unafanya live streaming mechi ya dakika 90 na masalia yanabaki ila sasa ukiingia YouTube humalizi nusu saa tena umeangali Ile 114K. Ila bado kuna watu wanadai eti angalia matumizi yako tu hakuna wizi.
hata ukitumia whatsup na Ig ni nomaa bando linaisha haraka
 
hautaki kujifunza lakini mitandao haikuibii mb zako ila wewe ndo unatumia mb zako bila kufahamu kuwa zinaenda vipi

wengi huamini video youtube ya dakika 5 inakura mb chache kuliko ya dkk 20

lakini inaweza video ya 4k ya dkk tano ikalamba mb 300 zako
wakati ya 360p ya dkk 20 ikalamba mb 50 tu

RESTRICK background data
wengi hawafahamu hata gallery callendar calculator zinatumia mb zako
sasa jenga picha wewe uloweka APPS kibao zisizo na kazi kwako zitakula tu mb zako
sasa ukiset restrick background yaan kutoruhusu app kutumia data zikiwa hazijafunguliwa au hazipo active utasave mb zako kwa kiasi kikubwa

NOTIFICATION
turn off notification kuepuka apps kurun hata kama hutaki kwa wakati huo kwa mfano kuna watu kitendo cha kuwasha data tu hizo notification hatari si facebook opera youtube instaglam nk
wkt hapo umewasha kutaka kuona picha moja ulotumiwa whatsaap lkn kutokana na notification nyingi unajikuta unatumia mb za ziada ambazo zingekusave mpk jioni
ruhusu nitification kwenye apps chache muhimu tena zisizo na usumbufu hata whatsapp block nitification magroup

APPS zinazopenda video
kuna watu wanaamini video za INSTA na STATUS za whatsaap haziri sana mb
asikwambie mtu instaglam ndo inaongoza kwa kumaliza mb akifatia mjomba whatsaap na status za video
wenzako wamejiunga na vya SOCIAL wewe una mb za kawaida halafu kila status za video insta huko na whatsaap unataka uone hapo lazima ulalame mb zako zinaibiwa
Mkuu ww hujaelewa point ya mtoa maada..
Fanya ujaribu kununua mb 500 voda ,tigo,airtel na ttcl then utumie kwa simu moja matumizi yale yale.

Utaona mb 500 za voda zinakata kama maji..
Tatizo sio background apps tatizo ni wao wenyewe...
 
Back
Top Bottom