Nahisi mimi nina tatizo

Nahisi mimi nina tatizo

Heri lee

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
981
Reaction score
538
Mimi heri lee nahisi nina tatizo kwani kila nikiona demu yeyote hapa chuoni natamani nimtongoze nina miaka 20 na najitahidi kuepuka lakini imeshindikana na nisipofanya hivyo nakuwa na mawazo kutwa nzima sijui nini tatizo.
 
...unahisi..? bado hujagundua ?uko form gani...?
 
Heri lee Miaka 20 bado balahe inawezakuwa inasumbua haswa kama miaka michache iliyopita hukupata hata mmoja wa kutoka naye. Pole sana.
 
Last edited by a moderator:
Freddom comes with responsibilities young bro...take care!!!
 
Miaka 20...bado mdg sana balehe inakusumbua
 
Chezea video game 😆

Sent from Samsung Note III using Tapatalk
 
Badirisha tatizo lako, liwe kila ukipewa mtihani utamani kuufaulu. Tatizo hili litakufikisha mbali.
 
Back
Top Bottom