Nahisi kuwa na nguvu fulani ndani yangu. Kitu chochote kizuri ninachotamani na kuwaza kitokee, kweli hutokea

Kweli kabisa mkuu kuna kitu nyuma ya pazia bado binadamu hatuelewi au tunapotezwa na kikundi cha watu walio tayari fahamu siri nyingi za huu ulimwengu
Hapa kwenye kupotezwa na watu fulani hata mimi huwa nahisi hivyo mkuu.

Nadhani kuna connection kubwa kati ya akili zetu zinachowaza na ulimwengu unaotuzunguka.

Kwamba huwenda akili zetu zina uwezo wa kuvuta mazingira ambayo yapo kichwani yakatokea kweli kwa namna ambavyo sisi hatuijui.

So kama mambo yako hivi maana yake kila mtu akijiwazia mambo mazuri na yanatokea maana yake kuna watu hawatonufaika.

Nakisoma kitabu cha "the power of subconscious mind" nikikimaliza nitaleta hapa namna ambavyo nimekielewa ili tukichambue zaidi.

Nahisi kuna pahala tunachezewa sisi kama binadamu.

Kwa nini hizi kanuni hatufundishwi shuleni why ?
 
Mkuu.....
Kitabuni...wamechanganua...muda....sehemu/pahala....kitendo?
 
Awazavyo mtu ndivyo alivyo neno linasema.

Epuka kujiwazia mabaya, yasije kukupata.

Pia watu wajifunze kuwa mtu ni ROHO anayo NAFSI na anaishi ndani ya MWILI.

Tunazo nguvu kubwa sana ndani yetu ambayo haijatumika Bado!!!!

Mimi binafsi ni kama wewe, nikiwaza kitu hutokea.

Amen
 
Mkuu iwe mwanzo na mwisho usipende kuhadithia neema alizo kupa Mungu kwa watu kuna watu wengine ni wabaya wataweza kukuharibia kipaji chako na kukitumia kwa njia uchawi jihadhari sana. Endelea hivyo hivyo kuwasidia mayatima na masikini ipo siku utakuwa tajiri na sisi utuombe tuwe matajiri. Nikuulize swali je umezaliwa tarehe gani na mwezi gani?nina maanisha unajijuwa nyota yako ni ipi?
 

Hongera sana mkuu
 

Karibu sana chief utupe hayo madini asee
 
Kwa hivyo kwa kifupi wewe ni sterling wa maisha yako... Hongera. Sasa umesema si mtu wa ibada then utamshukuru nani?

Namshukuru mungu alie ndani yangu ambae anafanya kila zuri nalo waza kwangu hutokea!
 
Karibu sana chief utupe hayo madini asee
Haina shida mkuu tutadajili kwa kina sana na tutajumuisha na baadhi ya maandiko ya dini kuleta hamasa katika uzi


HIzi kanuni mpaka kwenye maandiko zipo lakini inataka tafakuri kujua makusudio
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…