Nahisi kuuza mechi

Wadau ushauri wenu nauhitaji nini nifanye baada ya kula kujamiiana na msichana ambae nimegundua ana V.V.U japokuwa nilitumia mpira sina imani. nlpga miez 6 iliyopita na nmerudia last week wkt huo nilikua cjui nmejua jana
Yani mi husema mwenye kugundua utamu wa papuchi Loo!! ndiye mchawi mkubwa hapa duniani.
 
sawa mkuuu tutafanya hivyo
 
UKIMWI sio rahisi sana kwa wanaume, kati ya wale 113 niliotembea nao 17 wamekufa kwa ngoma karibu miaka mi5 iliyopita mie nimeendelea kuwa mzima kabisa. huwa naamin kwenye mishindo miwili tu tena isiyozidi dk 5 kwa kila mshindo ili kupunguza michubuko. pia kumbuka kondomu ni za wazungu.
 
Mbona tumbo joto kama kweli ulitumia kinga
 
Wadau ushauri wenu nauhitaji nini nifanye baada ya kula kujamiiana na msichana ambae nimegundua ana V.V.U japokuwa nilitumia mpira sina imani. nlpga miez 6 iliyopita na nmerudia last week wkt huo nilikua cjui nmejua jana

Nenda kapime upate amani hapo utasumbuliwa na presha bure cku ukiharisha tu au homa bas utajua ndio wenyewe fanya maamuz kama ulitumia ndom huwez kuwa nao
 
Siutani hii kitu ni mtihani sana. Ukitumia mpira pre match haina kinga lazima uchovye na n.k nina vipimo vya kutosha vile quick test ila siku niliyo jaribu hilo zoezi hata papuchi sikuona ladha yake kwa maana zike presha za kusubiria majibu nikawaza vitu vingi mzee alinywea mwenyewe.. sasa dah huu mtihani ni mgumu.
Ndugu ungewahi ndani ya masaa 24 ukaenda kwa vituo vinavyotoa huduma za HIV wangekupa dozi ya PEP uitumie kwa uhakika zaidi. Ila saaa futa mawazo jipe mda kapime.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…